ZLATKO ASAKA KIKOSI CHA KWANZA YANGA

Msomaji wa Yanganews Blog:Kocha Zlatko Krmpotic, amekuwa akitumia wachezaji tofauti katika kikosi chake cha kwanza katika michezo yote mitatu iliyochezwa nyumbani na ugenini. Mchezo wa...

WACHEZAJI WA KIGENI WAING’ARISHA YANGA LIGI KUU

Msomaji wa Yanganews Blog:Kikosi cha Yanga imecheza mechi tatu za Ligi Kuu Tanzania Bara, ikiwa imeshinda michezo miwili na kutoka sare moja, ikicheza mechi...

MFUMO BADO TATIZO YANGA

Msomaji wa Yanganews Blog:Kocha mkuu Yanga Krmpotic alisema kuwa bado kuna changamoto mbalimbali wanaendelea kuzifanyia kazi katika kikosi mbali na kufurahia ushindi lakini bado...

KIKOSI CHA YANGA KIPO NJIANI KUREJEA DAR

Msomaji wa Yanganews Blog:Baada ya kupata alama tatu muhimu dhidi ya Kagera Sugar, kikosi cha Yanga SC kipo njiani kurejea jijini Dar es Salaam...

UKUTA YANGA WALETA MATUMAINI, KUNYAKUA UBINGWA LIGI KUU

Msomaji wa Yanganews Blog:Kwa usajili uliofanywa na Yanga msimu huu, imeonekana kuwa na ukuta bora kulingana na wachezaji waliongezeka na wale walikuwepo msimu uliopita. Katika...

WANAYANGA TUSIKILIZANE.

WanaYangaa epukeni kununua jezi kwa bei ghali, ambapo wengi wafanyabiashara wanauza jezi hadi elfu70. Ndio, jezi ziliingia chache hivyo kuwanufaisha wafanyabiashara kuchukua zote kisha kuanza...

ALICHOSEMA KOCHA MKUU YANGA BAADA MECHI DHIDI KAGERA SUGAR

Msomaji wa Yanganews Blog:Kikosi cha mabingwa wa kihistoria Yanga imeifunga Kagera Sugar bao 1-0 na kupanda kileleni kwenye Msimamo wa Ligi Kuu Bara kwa...

MAGAZETI YA MICHEZO LEO JUMAPILI, SEPTEMBA20

Kwa habari zaidi Download app ya Yanganews toleo jipya kutoka playstore. Bonyeza picha hapa chini

HIGHLIGHTS:KAGERA SUGAR 0-1 YANGA

https://youtu.be/o9y7UeMy1r4