Saturday, September 26, 2020
Home Authors Posts by Yanganews

Yanganews

153 POSTS 0 COMMENTS

HII HAPA SABABU YA KUTOPANGWA FARID MUSSA, MECHI DHIDI YA KAGERA...

HII HAPA SABABU YA KUTOPANGWA FARID MUSSA, MECHI DHIDI YA KAGERA SUGAR SOMA ZAIDI KATIKA APP YA YANGANEWS TOLEO JIPYA. BONYEZA HIYO LINKhttps://play.google.com/store/apps/details?id=com.weblinehttps://play.google.com/store/?id=com.webangaapp.yangaapp

ZLATKO AANZA KUSUKA YANGA YA MABAO

Msomaji wa Yanganews Blog:Kocha wa Yanga Zlatko Krmpotic amesema haridhishwi na ushindi mwembamba wa timu yake na sasa anatafuta dawa ya mabao mengi kwa...

KISINDA AAHIDI MAMBO MAZURI YANGA

Msomaji wa Yanganews Blog:Winga wa Yanga, Tuisila Kisinda anasema hakuna mchezo uliomnyima raha kama wa Mbeya City na kwamba kitendo cha kujiangusha hovyo kilimpunguzia...

ALICHOSEMA LAMINE MORO KUELEKEA MECHI YA LIGI KUU DHIDI MTIBWA SUGAR

Msomaji wa Yanganews Blog:Beki kisiki wa Yanga, Lamine Moro amesema kuwa wachezaji wapo tayari kwa ajili ya ushindani ndani ya Ligi Kuu Bara kutokana...

NIYONZIMA AAHIDI USHINDI MECHI DHIDI MTIBWA SUGAR

Msomaji wa Yanganews Blog:Nahodha msaidizi wa Yanga, Haruna Niyonzima, amesema kuwa mipango ya timu yao ni kuwa na mwendelezo wa kuvuna alama tatu katika...

APP YA YANGANEWS TOLEO JIPYA IMEBORESHWA ZAIDI

APP YA YANGANEWS TOLEO JIPYA IMEBORESHWA ZAIDI. SASA HAKUNA KUKATA KATA BOFYA HIYO LINK, DOWNLOAD https://play.google.com/store/apps/details?id=com.webline.yangaapphttpshttps://play.google.com/store/apps/details?id=com.web://play.google.com/store/apps/details?id=com.webline.yangaapp

WANAJESHI YANGA WAENDELEZA TIZI LA NGUVU, MAANDALIZI MECHI DHIDI MTIBWA SUGAR

Msomaji wa Yanganews Blog:Kikosi cha mabingwa wa kihistoria Yanga leo jioni imeendeleza tizi la nguvu ikiwa maandalizi mchezo wa ligi kuu dhidi Mtibwa Sugar...

ZLATKO AWATOA HOFU WANAYANGA

Msomaji wa Yanganews Blog:Kocha Mkuu wa Yanga, Zlatko Krmpotic amewashusha presha mashabiki wa timu akiwaambia mabao yatakuja, kwani kilichomuhimu kwake kwanza ni kuvuna alama...

MWAMNYETO ATOLEA UFAFANUZI, TUHUMA KUSHIKA MPIRA MECHI DHIDI KAGERA SUGAR

Msomaji wa Yanganews Blog:Beki Bakar Mwamnyeto amesema amesikia kelele za baadhi ya wadau wakisema alishika mpira, mechi dhidi Kagera Sugar. Tukio la dakika ya 46...