October 20, 2020

7 thoughts on “HII HAPA SABABU YA KUTOPANGWA FARID MUSSA, MECHI DHIDI YA KAGERA SUGAR

  1. kwanini Farid mussa achezeshwi na juma mahadhi kwanini tunaitaji wacheze wings kisinda wings Farid tunataka kushinda mechi zetu tunakosa magoli ya kufunga kisa mipila aikai mbele mafowrd wanarudi kuchukua mipila nyuma ndio wakafunge kweri?

  2. waziri junior not fighter mzuri kocha ajaribu kumpa nafasi aoneshe Mambo yake yaliyomtoa mbao Hadi Yanga

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *