October 28, 2020

WANAJESHI YANGA WAENDELEZA TIZI LA NGUVU, MAANDALIZI MECHI DHIDI MTIBWA SUGAR

Msomaji wa Yanganews Blog:Kikosi cha mabingwa wa kihistoria Yanga leo jioni imeendeleza tizi la nguvu ikiwa maandalizi mchezo wa ligi kuu dhidi Mtibwa Sugar utakaopigwa siku ya jumapili, mjini Morogoro.

2 thoughts on “WANAJESHI YANGA WAENDELEZA TIZI LA NGUVU, MAANDALIZI MECHI DHIDI MTIBWA SUGAR

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *