October 23, 2020

58 thoughts on “WEKA MAONI YAKO HAPA

 1. Naitakia Yanga ushindi mnono kuanzia bao 3.Kikosi cha sasa nina Imani nacho.Yanga daima mbele nyuma mwiko

 2. Nashukuru mungu tumeshinda ila sikufurahishwa na mchezo wa leo yani timu imecheza kiqango cha chini sana

 3. Nashukuru tumeshenda ila bado muunganiko sio mzuri sana hivyo nna Imani kila siku tunazidi kubadilika kama ambavyo kocha kasema anahitaji muda kuitengeneza yanga iwe yanga ya makombe

 4. tunashukuru kwa ushindi dhidi ya kagera ila ushauri timu Mbele waache mpira wa kuonesha ubinafsi zaidi wacheze Kama timu wasiwe wachoyo

 5. mambo yaenda yakiongezeka kwa kweli na tunamshuku Mungu pia wachezaji. Hamu yangu ni kuna Forward nifunge mahali ya kutosha. Sijaona kabisa shughuli toka kwao

 6. tunashukuru Mungu kushinda mechi ya leo ushauri wangu pale mbele tunakosa straiker wa kukaa kwenye nafasi ili apewe mpira wenye mazala afu timu inacheza taratibu sana vijana waongeze kasi tutafanya vyema tu

 7. pamoja. na. kupata. ushindi. lakini. timu. haikucheza. vizuri. kocha. ajitahidi. kurekebisha. makosa

 8. Hongera KWA ushindi ila nashauri benchill la ufundi liachwe lifanye kazi yao wasiingilwe kama upande wa pili.

 9. Huyu Kocha uwezo wake mdogo wa kufundisha maana timu haieleweki kabisa mukoko ni namba sita anampelekaje akacheze namba nane

 10. tumshukuru Mungu kwa ushindi wa point tatu, ila kwa mchezo huu dhidi ya Kagera cdhan kama tutafikia malengo,, mfumo wa kocha ubadilishwe mbele wawepo watu wenye kasi ili tufunge mabao meng

 11. Kocha yuko sawa kumbukeni kikosi ni jipya watafute tena mechi ya kirafiki kocha aendelee kusuka kikosi

 12. WACHEZAJI WETU WANAENDELEA VIZURI NA KUWA NA CONNECTION NZURI JAPO SIYO SANA, LKN PIA KOCHA AWE ANAANGALIA HALI MCHEZO KILA MECHI, MFANO YA KAGERA ALOINGIA CORHINYO, KASEKE, NCHIMBI NA BABA MZAZI MCHEZO ULIBADIRIKA, HIVYO WACHEZAJI WENGINE WAWE WANAWEKWA MAPEMA ZAIDI, ASANTENI

 13. ushauri wangu kuhusu jezi yangu tuna wachezaji wengi wa kigeni kwanini majina yao yasiandikwe kwenye hizo jezi ili kuongeza kipato cha timu?

 14. naomba timu yetu ya yanga waitishe kikao cha wazee wa yanga pamja na wastaafu wachezaji hili kuweka muhunganiko mzuri na wazee wetu ansanteni

 15. pembeni kisinda na farid kati sappong asirudi kukaba yeye acheze halo tu kama abuyang wa arsenal hakabi ila akipata mpira goli sappong akichezeshwa hivo ndiyo kazi yake

 16. kulikoni tena jameni na kocha mserbia mbona anaendelea kukisuka kikosi na wagosi wamelamba 3 jana?tuelezeni madhaifu tunawapata kutoka Arusha

 17. huku mtaan hatupumui na hawa wenzetu tunapata tabu, kama wachezaj tunao wazr na wenye uwezo lkn bado tim haina muunganiko kwan kila mchezaj anacheza kwa juhudi zake binas na siyo kitm

 18. nyie mnayayusha sana mechi yanga vs coast hakuna leo mmekwenda kuweka ya yanga vs mwadui nini kimekosekana alafu hamjibu chochote

 19. jamani mm naona km wanatuchanganya uteuzi wa Gsm tff . maoni yangu Gsm wasijichanganye kwa ilo ilikulinda heshima kwa wanajangwani

 20. Kocha mpya naangalia sana namna ya kupanga safu ya ushambuliaji. Back angalau inatia moyo.

 21. Ndg, viongozi mm kama mwanachama na mshabiki lialia ,kwanza natanguliza shukran zangu za dhati kwa uongozi wa yang African ,&GSM na bench la ufundi kiujumla.timu yetu ni nzur sana tunawachezaji wazuri sana,koch ajitahid kufanya muunganiko mzuri,ili kupata matokeo chanya kila mech,na pia ningeshaur baadhi ya wachezaji wawe na vyakula vyao raam kwamfano kalinho awe anatengenezewa mihogo ,ugali wa mtama miksi unga wa magimbi nk hii ina maana naitaji acalinyo awe fit na nguvu zaid ya hapo alipo wakati huo huo fikisheni ujumbe kwa kisinda ,and farid wasilete ubishow uwanjani pale wanapo pangwa kucheza mechi husika,nawnakaa na mipora sana halafu wachoyo kutoa pasi kwa mwenye posion nzur ,pia kocha ningependa atumie mfumo wa 3_5_2 huu mfumo ni kiboko sana hasa pale tunapokutana na simba au azam ,tuweke viu go wengi wasahmbuliaji wawili , Asante,YANGA MBELE DAIMA NYUMA MWIKO.WAPE SALAAAAM.ILOVEYOU YANGA MMMMWWWWAAAAAAAAAAAAAAAAAA🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *