October 28, 2020

SHIKHALO KUKOSEKANA MECHI DHIDI KAGERA SUGAR

Msomaji wa Yanganews Blog:Kikosi cha Yanga kwa sasa kipo Bukoba ambapo kiliwasili jana na kuanza kufanya mazoezi kwa ajlili ya kujiwinda na Kagera Sugar.

Mchezo huo wa Ligi Kuu Bara utapigwa Uwanja wa Kaitaba, Septemba 19 majira ya saa 10:00 jioni.

Kwenye mchezo huo nyota watano wa Yanga wanatarajiwa kuukosa mchezo huo kwa kuwa wameachwa Dar es Salaam ikiwa ni pamoja na Wazir Junior, Paul Godfrey,Juma Mahadhi,Abdallah Shaibu Ninja hao hawapo katika mpango wa kocha pia mlinda mlango Farouk Shikalo huyo ni majeruhi.

Msomaji wa Yanganews Blog:Shikhalo alipatwa majeraha kwenye mchezo dhidi ya Tanzania Prisons

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *