October 31, 2020

WANAJESHI YANGA ‘WAPAA’ KUIFUATA KAGERA SUGAR

Msomaji wa Yanganews Blog:Baada ya mechi ya kirafiki hapo jana, Yanga dhidi Mlandege FC, kikosi cha mabingwa wa kihistoria Yanga kimepaa leo asubuhi kuelekea Bukoba.

Kikosi cha Yanga itashuka dimbani kesho kutwa jumamosi kumenyana dhidi ya Kagera Sugar, huo ukiwa ni mchezo wa ligi kuu utakaopigwa dimba la Kaitaba, Bukoba.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *