October 28, 2020

TWENZETU TUKAIPE SAPOTI TIMU YETU, YANGA DHIDI MLANDEGE

Msomaji wa Yanganews Blog:Kikosi cha mabingwa wa kihistoria Yanga itashuka dimbani leo kumenyana dhidi ya Mlandege FC , huo ukiwa ni mchezo wa kirafiki utakaopigwa dimba la Azam Complex, saa moja jioni.

Kiingilio katika mchezo huo, Mzunguko 5,000 na VIP 10,000. Vituo vya tiketi ni Dar Live Mbagala, Yanga HQ na Azam Complex.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *