October 28, 2020

JEZI MPYA YANGA NI KIKWETU KWETU

Msomaji wa Yanganews Blog:Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM, Mhandisi Hersi Said amebainisha dhana nzima iliyowaongoza katika kubuni jezi hiyo ikiwemo kuifanya iendane na Wananchi na hata utamaduni wa Kiafrika.

Hayo ameyasema wakati Klabu ya Yanga ikizindua ‘uzi’ mpya kwaajili ya msimu wa 2020/2021na wameanza kwa kuzindua jezi mbili ambapo moja itatumika kwa mechi za nyumbani na nyingine kwaajili ya michezo ya ugenini huku Mhandisi Hersi akiongeza kuwa jezi namba tatu itazinduliwa siku zijazo.

Yanga watacheza mechi nyingine dhidi ya Mbeya City ambayo itapigwa dimba la Mkapa, Septemba 13.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *