October 23, 2020

NUGAZ APELEKA SHUKRANI KWA MASHABIKI YANGA

Msomaji wa Yanganews Blog:Uongozi wa Yanga, umewashukuru mashabiki kwa kujaza uwanja ambapo Afisa Mhamasishaji , Antonio Nugaz, aliyeandika kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii (Instagram).

“Jana tumedhihirisha kuwa hii ni timu ya Wananchi kweli, shukrani sana kwa mashabiki, wapenzi na wanachama kuja na kuujaza uwanja,”aliandika Nugaz kupitia mtandao huo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *