November 27, 2020

KAZE AWEKEA MKAZO, SAFU YA USHAMBULIAJI YANGA

Msomaji wa Yanganews Blog:Licha ya kuiongoza Yanga kushinda michezo miwili mfululizo, kocha Cedric Kaze, amesema haridhishwi na ushindi mwembamba wanaoupata, huku akiweka wazi kuwa ameanza kuwafungia kazi washambuliaji wake ili watupie mabao ya kutosha katika michezo ijayo ya Ligi Kuu Bara.

Kaze ambaye alirithi mikoba ya Zlatko Krmpotic hivi karibuni, amekiongoza kikosi hicho katika michezo miwili iliyopita na kuvua pointi zote sita, akianza kuvuna ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania, kabla ya kuichapa KMC mabao 2-1.

Hata hivyo, Mrundi huyo amesema bado……..

SOMA ZAIDI KATIKA TOLEO LA OKTOBA26,UPDATE APP YA YANGANEWS.

HII NI TOLEO LIPYAA, IMETOLEWA OKTOBA 26, 2020.

HILI TOLEO UNAWEZA KUFUNGUA HATA KAMA HAUNA MB.

UPDATE HIVI SASA, BONYEZA HII LINK.

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.webline.yanghttps://play.google.com/store/apps/detailshttps://play.google.com/store/apps/details?id=com.weblinehttps://play.google.com/store/apps/details?id=com.webline.yangaapphttps://play.google.com/store/apps/details?id=com.webline.yanghttps://play.google.com/store/apps/details?id=com.weblaappaapp.yangaapp?id=com.webline.yangaappaapp

AU NENDA PLAYSTORE, ANDIKA YANGA NEWS

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *