December 6, 2020

WAZIR JUNIOR APELEKA RAHA YANGA

Msomaji wa Yanganews Blog:Mabadiliko aliyoyafanya Kocha Mkuu wa Yanga, Cedrick Kaze kumtoa Deus Kaseke na kumwingiza Farid Mussa yameonekana kuzaa matunda kwa timu hiyo.

Kaze alifanya mabadiliko hayo dakika ya 57 ambapo Farid akitokea benchi aliweza kupiga kona iliyozaa bao la pili dakika ya 61 kupitia kwa Wazir Junior.

Kuingia kwa bao hilo kuliiamsha Yanga ambao walionekana kushambulia sana na kuwapa wakati mgumu wapinzani wake KMC.

Hata hivyo kabla ya kupatikana kwa bao hilo, Lamine Morro na Sarpong wali……

SOMA ZAIDI KATIKA TOLEO LA OKTOBA26,UPDATE APP YA YANGANEWS.

HII NI TOLEO LIPYAA, IMETOLEWA OKTOBA 26, 2020.

HILI TOLEO UNAWEZA KUFUNGUA HATA KAMA HAUNA MB.

UPDATE HIVI SASA, BONYEZA HII LINK.

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.webline.yanghttps://play.google.com/store/apps/detailshttps://play.google.com/store/apps/details?id=com.weblinehttps://play.google.com/store/apps/details?id=com.webline.yangaapphttps://play.google.com/store/apps/details?id=com.webline.yanghttps://play.google.com/store/apps/details?id=com.weblaappaapp.yangaapp?id=com.webline.yangaappaapp

AU NENDA PLAYSTORE, ANDIKA YANGA NEWS

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *