December 6, 2020

TWENZETU DIMBA LA UHURU

Msomaji wa Yanganews Blog:Kesho alhamisi kikosi cha mabingwa wa kihistoria Yanga itashuka dimbani kumenyana dhidi Polisi Tanzania, huo ukiwa mchezo wa ligi kuu utakaopigwa dimba la Uhuru, saa10 jioni.

Kuelekea mchezo huo, afisa mhamasishaji wa Yanga, Antonio Nugaz amewataka wanaYanga kujitokeza kwa wingi kuipa sapoti timu yao.

Viingilio mchezo huo, Mzungoko 5000/=, VIPB 10000/=, VIPA 15000/=.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *