October 31, 2020

TFF WASHTUKA, WAMUWEKA GSM NDANI YA KAMATI USHINDI STARS

Msomaji wa Yanganews Blog:Rais wa TFF Wallace Karia amemteua Ghalib Said Mohamed (GSM) kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Ushindi ya Taifa Stars, Makamu Mwenyekiti Salim Abdallah, katibu wa kamati hiyo ni Eng Hersi Said.

 

5 thoughts on “TFF WASHTUKA, WAMUWEKA GSM NDANI YA KAMATI USHINDI STARS

  1. Gsm wanatakiwa wajitasimini vizuri kwa Jambo ili kwani mshika mawili moja umponyoka kulinda heshima yao kwa Wanajangwani wawe makini

  2. Hao Tff ni wajanja kwa mambo mawili- (1) Kuzuia kwa ujanja swala la Morison (2) Kuteua Gsm na Injinia Hersi ni kutaka kuidho ofisha Yanga maana wasiwe na nafasi ya kushughulikia mambo ya klabu

  3. Wadhamini wetu tuna waheshimu sana, kiufupi hatutaki kusikia hizo habari. 💛💚💛💚💚💛💛💛💚😢😢😢

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *