October 28, 2020

YANGA MWENDO MDUNDO

Msomaji wa Yanganews Blog:Hapo jana kikosi cha mabingwa wa kihistoria Yanga ilifanikiwa kuibamiza Coastal Union Mabao 3-0, huo ukiwa mchezo wa ligi kuu, uliopigwa dimba la Mkapa.

Baada ya mchezo huo, huu hapa msimamo wa ligi kuu hivi sasa

4 thoughts on “YANGA MWENDO MDUNDO

  1. Kwa kweli Yanga wachezaji wanajitahidi sana ila kuna shida kubwa kwenye kupanga safi ya ushambuliaji. Kocha watch this out! Kaze as country expect we are in high expectations.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *