October 31, 2020

ZLATKO SIKU 37 YANGA

Msomaji wa Yanganews Blog:Uongozi wa Yanga SC licha ya kupata ushindi wa magoli 3-0 leo dhidi ya Coastal Union wametangaza kumfuta kazi kocha wao mkuu Zlatko Krmpotic raia wa Serbia.

Zlatko huwa hadumu na timu
🇹🇿Yanga SC siku 37
🇿🇦Polokwane siku 113
🇷🇼 APR siku 159
🇧🇼 Jwaneng Galaxy Siku 189
🇿🇲 Zesco siku 165

Zlatko hadi anatumuliwa Yanga SC alikuwa kaiongoza timu hiyo katika michezo 5 na ameshinda mechi nne na sare moja, sare mchezo mmoja, lakini leo ndio ushindi wake mnono wa kwanza wa zaidi ya goli.

15 thoughts on “ZLATKO SIKU 37 YANGA

  1. kuna shida gani hapo jamani, fanyaeni sajili ya kocha mzuri, uchebe ndo anafaa sana kuja yanga

  2. uchebe sio kocha mzuli yani wenzetu wale nyama sisi tile mifupa ha ha haaa hapana Hilo sisapoti

  3. wanayanga tunazingua Leo ck ya nne toka afukuzwe kocha Ila hakna mbadala tuache siasa huu n mpra

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *