October 28, 2020

YANGA KUKINUKISHA KESHO, MECHI YA LIGI KUU DHIDI COASTAL UNION

Msomaji wa Yanganews Blog:Kikosi cha mabingwa wa kihistoria Yanga itashuka dimbani hapo kesho kumenyana dhidi Coastal Union, huo ukiwa mchezo wa ligi kuu utaopigwa dimba la Mkapa, saa moja jioni.

Viingilio katika mchezo huo, mzunguko 5,000/-, B & C 10,000/- na V.I.P – A 15,000.

 

1 thought on “YANGA KUKINUKISHA KESHO, MECHI YA LIGI KUU DHIDI COASTAL UNION

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *