NIYONZIMA AZUNGUMZIA MAJERAHA YAKE, MECHI DHIDI BIASHARA

Msomaji wa Yanganews Blog:Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima amesema bado hajajua ameumia kiasi gani hadi pale atakapofanyiwa vipimo baada ya kupata majeraha katika mchezo wa ...
Posted in HABARI

MORRISON AKWEA PIPA KUONGEZA NGUVU YANGA

Msomaji wa Yanganews Blog:Winga wa Yanga, Bernard Morrison ameondoka Dar es Salaam leo kuelekea Bukoba kuongeza nguvu katika kikosi cha Yanga kitakachocheza na Kagera Sugar ...
Posted in HABARI

MABADILIKO YA RATIBA, YANGA DHIDI KAGERA SASA KUPIGWA JULAI08

Msomaji wa Yanganews Blog:Bodi ya ligi Tanzania yarudisha, mchezo wa Yanga na Kagera ili kuwapa muda mzuri Yanga kujiandaa na mechi ya nusu fainali ASFC ...
Posted in HABARI

DAKTARI YANGA AWATOA HOFU WANAYANGA

Msomaji wa Yanganews Blog:Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima aliumia dakika ya nne kwa kuchezewa rafu mbaya, akatibiwa lakini baadaye dakika ya saba alishindwa kuendelea na ...
Posted in HABARI

EYMAEL WALA HANA PRESHA, MECHI WATANI WA JADI

Msomaji wa Yanganews Blog:Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa hana hesabu kuhusu mchezo wake wa Simba wa hatua ya nusu fainali unaotarajiwa kuchezwa ...
Posted in HABARI

YANGA HAIKUWA RIDHIKI MECHI DHIDI BIASHARA

Msomaji wa Yanganews Blog:Kikosi cha mabingwa wa kihistoria Yanga waliokuwa ugenini kucheza dhidi ya Biashara United, mechi yao imemalizika kwa suluhu na kuweka rekodi ya ...
Posted in HABARI

EYMAEL APANIA KUIFURUMUSHA SIMBA KOMBE LA FA

Msomaji wa Yanganews Blog:Simba na Yanga zinakutana Jumapili ijayo kwenye mechi ya nusu fainali ya Kombe la FA ambayo ndiyo iliyoshikilia hatma ya Yanga kimataifa ...
Posted in HABARI