July 8, 2020
Breaking News

APP YA YANGANEWS GB

Hii ni app ya Yanganews gb, ni app bora kabisaa, app iliyotengenezwa na wataalamu waliobobea ni kwa habari za Yanga tu, habari zenye ukweli na uhakika wakati wote.

WanaYangaaa pakua hivi sasa app ya Yanganews gb, hiyo imeboreshwa zaidi, imewekwa group la Yanga ndani ya app, kama ilivyo group la whatsapp hiyo ipo ndani ya app, wanaYanga mutaweza kujadiliana humo pia maoni yenu yatafanyiwa kazi haraka.

WanaYangaa pakua app yako pendwa app ya Yanganews gb, unaweze kutazama mechi live(mechi zote za Yanga), kubwa zaidi app ya Yanganews gb inayo notification_taarifa ikiingia unapata kana kwamba imeingia sms.

WanaYangaa mambo mazuri yapo katika app ya Yanganews gb, download hivi sasa hili twende pamoja.

Huu hapa muonekano wa app ya Yanganews gb, ikiwa hupati muonekano huo, tambua hiyo sio app ya Yanganews gb

Bofya  hiyo link download app ya Yanganews Gb ___https://play.google.com/store/apps/bdetails?id=com.webline.yangaapp

__Au nenda playstore, download app ya Yanganews gb