July 8, 2020
Breaking News

SHUNGU AWAPA USHAURI YANGA KUMNYAKUA MOZIZI ‘USAJILI DIRISHA KUBWA’

  Msomaji wa Yanganews Blog:Kocha msaidizi wa As vital Raoul Shungu ambaye amewahi kuifundisha Yanga na kuwapa mafanikio kwa kutwaa mataji mbalimbali amesema kama hesabu ...
Posted in HABARI, USAJILI51 Comments on SHUNGU AWAPA USHAURI YANGA KUMNYAKUA MOZIZI ‘USAJILI DIRISHA KUBWA’

EYMAEL KUSHUSHA WINGA MWENYE KASI YA KIMBUNGA YANGA

  Msomaji wa Yanganews Blog:Akizungumza na chanzo chetu kutoka Ubelgiji, Kocha mkuu wa mabingwa wa kihistoria Yanga, Eymael afichua, asema katika usajili wa dirisha kubwa ...
Posted in HABARI, USAJILI2 Comments on EYMAEL KUSHUSHA WINGA MWENYE KASI YA KIMBUNGA YANGA

TSHISHIMBI AWAPA USHAURI VIONGOZI YANGA KUMVUTA SURE BOY ‘USAJILI DIRISHA KUBWA’

  Msomaji wa Yanganews Blog:Nahodha wa Yanga, Papy Kabamba ‘Tshishimbi’ amesema anatamani mchezaji wa Azam FC, Salum Abubakar ‘Sure Boy’ awe sehemu ya watu atakaocheza ...
Posted in HABARI, USAJILI106 Comments on TSHISHIMBI AWAPA USHAURI VIONGOZI YANGA KUMVUTA SURE BOY ‘USAJILI DIRISHA KUBWA’

KIUNGO RWANDA ATUA KATIKA RADA ZA YANGA

  Msomaji wa Yanganews Blog:Kiungo anayekipiga Rayon Sports ya Rwanda. Kaenda hewani kama unavyomuona Patrick Sibomana, wamefanana kifiziki kila kitu. Tathmini za Ligi ya Rwanda ...
Posted in HABARI, USAJILI16 Comments on KIUNGO RWANDA ATUA KATIKA RADA ZA YANGA

TSHISHIMBI AWAPA USHAURI VIONGOZI YANGA ‘USAJILI DIRISHA KUBWA’

  Msomaji wa Yanganews Blog:Kiungo fundi wa mpira na nahodha wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi amewapa akili ya usajili wa kikosi akisema haoni kama viongozi ...
Posted in HABARI, USAJILI1 Comment on TSHISHIMBI AWAPA USHAURI VIONGOZI YANGA ‘USAJILI DIRISHA KUBWA’

MKURUGENZI GSM AFUNGUKA MCHAKATO WA USAJILI YANGA

  Msomaji wa Yanganews Blog:Mkurugenzi wa GSM, Hersi Said aliweka wazi kuwa watafanya usajili wa wachezaji bora kutokana na bajeti waliyo nayo ili kupata watu ...
Posted in HABARI, USAJILI3 Comments on MKURUGENZI GSM AFUNGUKA MCHAKATO WA USAJILI YANGA

ALICHOSEMA EYMAEL BAADA YA KUIBUKA TETESI KUWA CHAMA ANAKUJA YANGA

  Msomaji wa Yanganews Blog:Baada ya kuibuka tetesi ikimuhusisha Chama kuwa anakuja Yanga,Kocha mkuu wa Yanga, Eymael amesema amekabidhi majembe kadhaa kwa viongozi waangalie uwezekano ...
Posted in HABARI, USAJILILeave a Comment on ALICHOSEMA EYMAEL BAADA YA KUIBUKA TETESI KUWA CHAMA ANAKUJA YANGA