July 8, 2020
Breaking News

TIZI LAENDELEZWA YANGA KUELEKEA MECHI YA LIGI KUU DHIDI BIASHARA

Msomaji wa Yanganews Blog:Hapo jana jioni kikosi cha mabingwa wa kihistoria Yanga kiliendeleza tizi la nguvu, hiyo ikiwa ni maandalizi mchezo wa ligi kuu dhidi ...
Posted in PICHA

YANGA KUKINUKISHA KESHO, MECHI KOMBE LA FA DHIDI KAGERA SUGAR

Msomaji wa Yanganews Blog:Leo kikosi cha mabingwa wa kihistoria Yanga imefanya mazoezi ya mwisho tayali kwa mchezo kombe la FA dhidi Kagera Sugar, mchezo huo ...
Posted in PICHA9 Comments on YANGA KUKINUKISHA KESHO, MECHI KOMBE LA FA DHIDI KAGERA SUGAR

WACHEZAJI YANGA WAENDELEZA MATIZI, MAANDALIZI KOMBE LA FA

Msomaji wa Yanganews Blog:Hapo jana wachezaji wa kikosi cha mabingwa wa kihistoria Yanga wameendeleza tizi la nguvu, hiyo ikiwa ni maandalizi mchezo kombe la FA ...
Posted in PICHA7 Comments on WACHEZAJI YANGA WAENDELEZA MATIZI, MAANDALIZI KOMBE LA FA

PICHA ZA KUTISHA MAZOEZI YA YANGA HII LEO

Msomaji wa Yanganews Blog:Hizi hapa picha za kutisha katika mazoezi ya Yanga hii leo, hayo yakiwa ni maandalizi mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam, ...
Posted in PICHA4 Comments on PICHA ZA KUTISHA MAZOEZI YA YANGA HII LEO

PICHA KATIKA MAZOEZI YA YANGA HAPO JANA

Msomaji wa Yanganews Blog:Hapo jana kikosi cha mabingwa wa kihistoria Yanga kiliendelea kupiga tizi la nguvu, tayari kwa mapambano. Ndio, Kikosi cha Yanga kitashuka dimbani ...
Posted in PICHA7 Comments on PICHA KATIKA MAZOEZI YA YANGA HAPO JANA

TAZAMA PICHA ZA KUTISHA WACHEZAJI YANGA

Msomaji wa Yanganews Blog:Hizi hapa picha za wachezaji Yanga katika mazoezi ya hapo jana, hayo yakiwa maandalizi mchezo wa ligi kuu utakaopigwa june13, dhidi ya ...
Posted in PICHA8 Comments on TAZAMA PICHA ZA KUTISHA WACHEZAJI YANGA

WACHEZAJI YANGA WAENDELEZA TIZI LA NGUVU, TAYARI KWA MAPAMBANO

Msomaji wa Yanganews Blog:Wachezaji Yanga waendeleza tizi kama kawaida, hiyo ikiwa ni maandalizi mchezo wa ligi kuu dhidi Mwadui, june13. TAZAMA VIPENGELE MKATABA YANGA NA ...
Posted in PICHA10 Comments on WACHEZAJI YANGA WAENDELEZA TIZI LA NGUVU, TAYARI KWA MAPAMBANO

WACHEZAJI YANGA WAENDELEZA TIZI LA NGUVU ‘TAYARI KWA MAPAMBANO’

Msomaji wa Yanganews Blog:Wachezaji Yanga, hapo jana wameendeleza kupiga tizi la nguvu tayari kwa mapambano, kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ambao utapigwa june13, Yanga ...
Posted in PICHA27 Comments on WACHEZAJI YANGA WAENDELEZA TIZI LA NGUVU ‘TAYARI KWA MAPAMBANO’

PICHA:TIZI LA KIBABE WACHEZAJI YANGA HII LEO

Hizi hapa ,Picha za wachezaji Yanga wakiendelea kujifua kwa nguvu hii leo tayari kwa mapambano. Msomaji wa Yanganews Blog:Tizi hilo litaendelea Jumatatu, Kesho Jumapili wamepewa ...
Posted in PICHA2 Comments on PICHA:TIZI LA KIBABE WACHEZAJI YANGA HII LEO