July 8, 2020
Breaking News

ABDUL AWATOA HOFU WANAYANGA

Msomaji wa Yanganews Blog:Nahodha wa Yanga, Juma Abdul amewatoa hofu mashabiki wa timu hiyo na kuwataka kuwa na furaha kwenye kipindi hiki ambacho wanafanya maandalizi ...
Posted in HABARI

JIUNGE NA GROUP LA YANGA WHATSAPP

JIUNGE NA GROUP LA YANGA WHATSAPP. BOFYA PICHA JUU, JIUNGE NA GROUP LA YANGA WHATSAPP NDANI YA APP YA YANGANEWS GB. GROUP LA YANGA HILO ...
Posted in HABARI

IJUMAA KITAWAKA MECHI WATANI WA JADI, WANAWAKE

Msomaji wa Yanganews Blog:Yanga inatarajiwa kushuka dimbani dhidi ya wenyeji wao Simba Queens mechi itakayopigwa Ijumaa. Akizungumza na chanzo chetu,kocha mkuu Yanga Princes, Edna Lema ...
Posted in HABARI

ABDUL AANZA MAZOEZI MEPESI YANGA

Msomaji wa Yanganews Blog:Wachezaji sita waliokuwa majeruhi baada ya mechi ya Bisahara United wanaendelea vyema na baadhi wameanza mazoezi leo pamoja na kikosi. Daktari wa ...
Posted in HABARI

BANKA AONGEZA NGUVU BUKOBA

Msomaji wa Yanganews Blog:Kiungo wa Yanga, Mohamed Issa ‘Mo Banka’ amewasili mjini Bukoba kuungana na kikosi kwa ajili ya maandalizi ya mechi dhidi ya Kagera ...
Posted in HABARI

EYMAEL APANIA KUENDELEZA UBABE MECHI WATANI WA JADI

Msomaji wa Yanganews Blog:Kocha wa Yanga, Luc Eymael amesisitiza kwamba wachezaji wake wana mzuka wa aina yake na walichopania mbele yao ni kushinda dhidi ya ...
Posted in HABARI

ABDUL HATARINI KUIKOSA MECHI WATANI WA JADI

Msomaji wa Yanganews Blog:Majeraha yaliyowakumba wachezaji Juma Abdul na Papy Kabamba ‘Tshishimbi’ yanaweza kuiathiri timu hiyo kuelekea mchezo wao wa nusu fainali ya FA dhidi ...
Posted in HABARI

SAKATA LA MORRISON, TFF YATOA TAMKO

Msomaji wa Yanganews Blog:Kamati ya katiba,sheria na hadhi ya wachezaji ya shirikisho la soka nchini Tanzania TFF imesema kwamba hakuna mchezaji aliyeruhusiwa kucheza ligi kuu ...
Posted in HABARI

EYMAEL ASUBIRIA RIPOTI KUJUA HATIMA YA NIYONZIMA KUELEKEA MECHI WATANI WA JADI

Msomaji wa Yanganews Blog:Hofu imekuwa kwa kocha Luc Eymael baada ya nyota wake kupata majeraha mfululizo hivi karibuni huku wakiwa na michezo miwili migumu mbele ...
Posted in HABARI