July 8, 2020
Breaking News

53 thoughts on “KIKOSI CHA WACHEZAJI YANGA

 1. Nawapongeza viongozi wangu wa yanga kwa mwelekeo mzuri wa kuipeleka timu kwenye mafanikio. Jambo la pili ninawashauri viongozi wasajili wachezaji wenye hadhi hii itasaidia mauzo ya jezi pia sapoti ya mashabiki kujaza kiwanja.

 2. MATANGAZO KUHAMASISHA KUPAKUA APP YA YANGANEWS GB.

  Msomaji wa Yanganews blog:Hayo matangazo ni kwaajili ya wale ambao bado hawajapakua app ya Yanganews gb, ikiwa umeshapakua app ya Yanganews gb,hayo matangazo hausiki nayo.

  Ndio, tangazo likitumwa mule(Yanganews toleo jipya) pia na humu Yanganews gb linaonekana sababu site ni moja, ila tupo hatua ya mwisho kufunga ile app ya Yanganews toleo jipya.
  Samahani kwa usumbufu wote uliojitokeza.
  Ahsante.

 3. Msomaji wa Yanganews Blog:Hayo matangazo ya kupakua app ya Yanganews gb, ni kwaajili wale ambao wapo katika app ya Yanganews toleo jipya(ambao bado hawajapakua Yanganews gb) ikiwa wew umeshapakua app ya Yanganews gb, hayo matangazo hayakuhusu.
  Endelea kuwa katika app ya Yanganews gb, habari zitaendelea kuwepo humu.
  Tunaomba radhi kwa usumbufu wote uliojitokeza, Ahsante

 4. Ndugu viongozi, wanachama wa Yanga Njombe vijijin tupo wengi sana, lakin tuleteeni Kadi. Asante.

 5. Msomaji wa Yanganews Blog:Tunawakaribisha wote waliopakua app ya Yanganews gb hii leo.

  Hivi punde tutaendelea kutoa habari kama kawaida katika app ya Yanganews gb, kule katika app ya Yanganews toleo jipya hamtaweza kupata habari yoyote.

  App ya Yanganews inatambulika klabuni Yanga, inafanya kazi sambamba na app rasmi ya klabu.

  Ahsante

 6. Wapenzi wa Yanga huku kwetu ni wengi mno.Tunaomba akina Nugaz wasiwe wahamasishaji wa dar.tu bali wafike hata kwetu kasulu kigoma wafungue matawi na pia walete kadi za wanachama.Yanga. licha ya haya mabadiko tutasitawi sana kiuchumi.

 7. Msomaji wa Yanganews Blog:Hiyo tangazo ni kwa wale ambao bado hawajapakua app ya Yanganews gb, ikiwa tayari umeshapakua, hiyo tangazo halikuhusu, hivi punde tutaendelea kuleta habari kama kawaida

 8. haipendezi wachezaji wetu kuvaa viatu kila mmoja rangi yake. wote wavae viatu sare

 9. Hakika nafurahi sana kuona kuona vile timu yangu pendwa ya yanga inaangaika kwaajili ya mabadiliko yenye tija kwa club yetu. Msola, GSM, MWAKALEBELA, WACHEZAJI & MASHABIKI, tusichoke tupige kazi kwa pamoja tunaweza,,,!!! Pindua meza&#&@&& kibabe,!! http://www.ubingwa yanga.co. tz WAPE SALAAAM

 10. kipigo cha kcms ni mazoezi tuu, yatusifanye kuvunjika moyo nikujipanga kwa mapambano ktk ligi kwa sababu mapungufu yetu tumekwisha yaona, tutayarekebisha kwa kuanzia kwa mwadui tutamgundisha kandanda safi na kuwapiga tatu bila au zaidi ya hayo

 11. niko Tarime mji, Mara. Nahitaji kadi ya Yanga ili niwe mwanachama nisiendelee Kubaki na ushabiki tu.

 12. ndo uzembe muliufanya wakati wa uchaguzi kiongozi mkajiamini kuwa mtashinda kupata urais wa tff hasa jipangeni uchaguzi ujao oneni yanayotendeka na viongozi wa tff

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *