August 13, 2020
Breaking News

KASHASHA APONGEZA USAJILI WA MWAMNYETO YANGA

Msomaji wa Yanganews Blog:Mchambuzi Alex Kashasha alisema, usajili wa Mwamnyeto ni miongoni mwa usajili mzuri ambao wameufanya Yanga msimu huu kwani ataongeza nguvu katika kikosi na kuwa na ngome ngumu ya ulinzi.

“Mwamnyeto mwenye uwezo wa kucheza mipira ya juu na chini, kuwazuia washambuliaji wasumbufu, muunganiko na mabeki wenzake anaweza kucheza pia na Ninja ambaye ni mzuri kwenye matumizi ya nguvu muda wote anapocheza, ni yupi wa kutumika au kukaa benchi lipo chini ya kocha wao,” alisema.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *