August 13, 2020
Breaking News

WACHEZAJI 11 WALIANZISHA MAZOEZI WACHEZAJI YANGA

Msomaji wa Yanganews Blog:Wachezaji 11 wa Yanga wameanza mazoezi hii leo hiyo ikiwa maandalizi ya msimu wa 2020/21.

Meneja wa zamani ambaye amerejeshwa kazini, Hafidhi Saleh alianza kazi rasmi Kwenye Uwanja wa Chuo cha Sheria, Dar es Salaam

Afisa habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema wachezaji hao wameanza mazoezi chini ya kocha Riedoh Berdien akishirikiana na kocha wa under20, Said Maulid.

Hawa hapa wachezaji Yanga walioanza mazoezi hii leo

Metacha Mnata

Yassin Mustapha

Paul Godfrey

Deus Kaseke

Juma Makapu

Abbdulaziz Makame

Ditram Nchimbi

Wazir Junior

Juma Mahadhi

Abdallah Shaibu

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *