July 8, 2020
Breaking News

YANGA KUKINUKISHA KESHO, MECHI KOMBE LA FA DHIDI KAGERA SUGAR

Msomaji wa Yanganews Blog:Leo kikosi cha mabingwa wa kihistoria Yanga imefanya mazoezi ya mwisho tayali kwa mchezo kombe la FA dhidi Kagera Sugar, mchezo huo utapigwa dimba la Taifa, saa moja jioni.

 

9 thoughts on “YANGA KUKINUKISHA KESHO, MECHI KOMBE LA FA DHIDI KAGERA SUGAR

  1. NAPIMIA YANGA 2 KAGERA 1 EWE MOLA JAALIA TIMU YANGU ISHINDE YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKOOO AAAAAMIIIIIIIIIN

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *