July 8, 2020
Breaking News

WACHEZAJI YANGA WAENDELEZA MATIZI, MAANDALIZI KOMBE LA FA

Msomaji wa Yanganews Blog:Hapo jana wachezaji wa kikosi cha mabingwa wa kihistoria Yanga wameendeleza tizi la nguvu, hiyo ikiwa ni maandalizi mchezo kombe la FA dhidi ya Kagera Sugar, mchezo huo utapigwa dimba la Taifa, kesho jumanne.

Tazama picha mbali mbali katika mazoezi ya Yanga, hapo jana.

7 thoughts on “WACHEZAJI YANGA WAENDELEZA MATIZI, MAANDALIZI KOMBE LA FA

  1. napenda fainal iwe yanga na mikia alafu tuwe washindi pili kwenye ligi ya vodocom

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *