July 8, 2020
Breaking News

MORRISON APELEKA BARUA YANGA

MORRISON APELEKA BARUA YANGA

FUTA APP YA YANGANEWS TOLEO JIPYA, DOWNLOAD APP YA YANGANEWS GB.

APP YA YANGANEWS TOLEO JIPYA HIVI PUNDE INAFUNGWA.

BOFYA HIYO LINK,DOWNLOAD APP YA YANGANEWS GB

___https://play.google.com what can I/store/apps/detels?id=com.webline://play.google.com/storle/apps/details?id=com.webline.yangaapp

Ikumbukwe habari zilizomo katika app ya Yanganews toleo jipya, habari hizo hizo utazikuta katika app ya Yanganews gb, tofauti yake app ya Yanganews gb imeboreshwa zaidi, imewekwa group la Yanga ndani ya app kama ilivyo group la Yanga whatsapp, hiyo ipo ndani ya app ya Yanganews gb, wanaYanga wataweza kujadiliana humo pia maoni yenu yatafanyiwa kazi haraka na viongozi wa Yanga waliopo humo.

App ya Yanganews inatambulika klabuni Yanga, inafanya kazi sambamba na app rasmi ya klabu.

bofya hiyo link, download app ya Yanganews gb____https://play.google.com/store/apps/detels?id=com.webline.yangaapphttps://play.google.com/storle/apps/details?id=com.webline.yangaapp

Bofya picha juu, download app ya Yanganews gb.

 

AU NENDA PLAYSTORE ANDIKA “YANGANEWS GB”, KISHA DOWNLOAD

24 thoughts on “MORRISON APELEKA BARUA YANGA

 1. Msomaji wa Yanganews Blog:
  Baada ya Morrison kukaririwa kuhusu mkataba wake, fasta mabosi wake kupitia Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Simon Patrick alimlima barua kali winga huyo sambamba na kumuunganisha na faini ya Sh 1.5 milioni.

  Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM, wanaosimamia usajili wa Morrison, Mhandisi Hersi Said ameiambia chanzo chetu kwamba walishafunga suala la mkataba wa Mghana huyo na kwamba atabaki klabuni hapo mpaka Julai 14, 2022 ila sasa kuna kesi mpya wataanza kuifanyia kazi kwa uchunguzi zaidi.

  Hersi alisema kesi ambayo wanakwenda kuifanyia kazi kiuchunguzi sasa ni barua ambayo winga huyo aliwaletea hivi karibuni akidai klabu ya Kazma SC ya nchini Kuwait inamtaka.

  “Tuna mambo mengi sana yapo kwa huyu mchezaji sasa ni wakati wa kujiridhisha juu ya hii barua aliyoileta kwetu, kuwa kuna klabu inamtaka kutoka Kuwait kama ni halali au vinginevyo maana kuna mambo mengi yamejificha,” alisema Hersi aliyemleta Mghana huyo akiwa mchezaji huru.

  “Kama tukijiridhisha kwamba barua hiyo ina uwalakini hili litakuwa kosa la tatu kwa Morrison dhidi ya Yanga na tutazidi kuchukua hatua kali dhidi yake, tunahitaji mchezaji atakayeiheshimu klabu licha ya kipaji chake,” alisema Hersi.

 2. That is good ideas for Morrison because if you look when he was playing south Africa he had a couple case that was out of character, first he took money for one of the club and he did not signed to played for that club and when Ghana this time was Orlando pirate club put him aside and refused to continue to be their player, second when he was playing with Orlando found with a car which was stolen and he was put to j airy for some times and the case take it to the course but good luck for him is Orland decided to call the owner of that car and payed him the money claimed and agreeable to rube off the case from the court and since then when his contract come to an end with Orlando the club was not happy to continue to continue to be with him in the team, that is the reasons that make Orlando does not continue to be with him
  My view to him and to my club, our management should be aware with him, also Jamani hivi kweli mnaingiza waandishi wa habari mpaka kwenye vyumba vya wachezaji tena kambini na kitu kibaya zaidi mwandishi ni wa simba kweli tunaitaji kushindania kombe la fa au tunadanganyana? mpira wa kitanzania hauna mambo ya kizungu mtafeli inawezekana ndiyo maana manara kila siku anasema watachukua mara 10 kombe sababu wanajua uzaifu na wanajua watapitia wapi muwe makini na kambi jamani siyo kuzarau Yanga inamiiko yake mkumbuke.

 3. kama hamna habari ya kuandika kuhusu huyo mchezaji msimalize mb zetu,kwa sababu ni kichwa cha habari cha pili hicho mnatoa hewa cjui na aplication ipi hiyo ya gb ikiwa ndiyo hii ambayo tunaitumia ,imefika wakati sasa tuache usanii.

 4. Ndugu wapendwa Viongozi wa Yanga, suala la Morrison limesumbua sana sisi washabiki. Tunaimani na viongozi wetu. Endeleeni na msimamo mkali ili Morrison ajue kuwa Yanga ni timu kubwa na Kongwe na ina viongozi imara wasiotetereka hata kidogo.Tunachowaomba usajiri wa dirisha kubwa msajiri wachezaji wa kiwango vya juu ili akae bench mpaka aombe msamaha kwa viongozi,GSM na sisi washabiki. Usajili wa wachezaji wazuri ndio utakao mshusha kabisa. Pia ajue kuwa Yanga ilikuwepo tangu 1935, washabiki walio wengi tumeikuta na tutaiacha, vile vile wachezaji walikuwepo maarufu sana lakini waliiacha Yanga kama ilivyo. Na hata viongozi walikuwepo na wakabadilishana madaraka mpaka kufikia sasa. Yanga ipo na itaedelea kuwepo. Asituchanganye kwa tamaa na urafi wake. Akiendele kujichanganya wakati anamkataba na YANGA wa miaka miwili ni vyema hatua kali zichukuliwe na afungiwe kabisa na FIFA ili iwe fundisho kwake na kwa wengine wasio wakweli. DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.

 5. Endeleeni ipasavyo na kwa ukaribu tararibu na mienendo yake ili asije akavujisha mikakati na mipango ya Yanga kwa wapinzani wetu. pia aangaliwe kwa ukaribu asije akaihujumu Timu yetu ya YANGA maana kaonyesha udhaifu wa hali ya juu sana. Mjadala wa Morrison wasemaji wa KLABU waufuge kabisa usiwe ajenda kwenye vyombo vya habari kila kukicha. Tuangalie mechi zilizo baki tunahitaji kushida na Kombe la FA tunalihitaji. Tusivurugwe na ajenda ya Morrison tukayakosa hayo yaliyoko mbele yetu.

 6. Huyu mchezaji siamini Kama ana ajili nzuri kichwani sikutegemea afanye alicho fanya na kusema kwenye media dawa yake Ni ndogo tu acha ligi imalizike lakini juhudi kubwa zifanywe kwa ajili ya kusajili wachezaji kiwango yeye apigwe bench mwaka mzima ndiyo ajue hii Ni timu ya wananchi wazawa na siyo ya watanzania wenye asili ya kihindi

 7. Pole sana balama ugua pole dogo nipo na wewe nakutakia upone haraka uludi uwanjani ungane na wenzao mungu atakujali afya njema asante

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *