July 8, 2020
Breaking News

PICHA ZA KUTISHA MAZOEZI YA YANGA HII LEO

Msomaji wa Yanganews Blog:Hizi hapa picha za kutisha katika mazoezi ya Yanga hii leo, hayo yakiwa ni maandalizi mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam, ambao utapigwa jumapili, dimba la Taifa, jijini Dar Es Salaam.

Habari njema katika mazoezi hayo, mshambuliaji wa Yanga Benard Morrison amerejea na kuanza mazoezi ya pamoja na wenzake, tayari kwa mapambano

4 thoughts on “PICHA ZA KUTISHA MAZOEZI YA YANGA HII LEO

  1. morrison tusimuamini sana ni mchezaji kama wengine ,hizo sifa zitamulevya tu,alipokuwa hajatua yanga hakujulikana sasa anapokea rushwa simba na kwa waarabu .

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *