July 8, 2020
Breaking News

PICHA KATIKA MAZOEZI YA YANGA HAPO JANA

Msomaji wa Yanganews Blog:Hapo jana kikosi cha mabingwa wa kihistoria Yanga kiliendelea kupiga tizi la nguvu, tayari kwa mapambano.

Ndio, Kikosi cha Yanga kitashuka dimbani leo kumenyana dhidi ya Mwadui, huo ukiwa mchezo wa ligi kuu utakaopigwa dimba la CCM Kambarage, mjini Shinyanga.

7 thoughts on “PICHA KATIKA MAZOEZI YA YANGA HAPO JANA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *