July 8, 2020
Breaking News

MECHI ZA YANGA ZINAZOFUATA

Msomaji wa Yanganews Blog:Klabu ya Yanga ina mechi 11 kibindoni ambazo imebakiza ili kuamliza mzunguko wa pili wa 2019/20.

Juni 13 ligi inarejea rasmi baada ya kusimamishwa na Serikali kutokana na kuibuka kwa janga la Virusi vya Corona.

Hivi hapa vigongo vyake:-

Juni 13, Mwadui v Yanga

Juni 17, JKT Tanzania v Yanga

Juni 21, Yanga v Azam FC

Juni 24, Yanga v Namungo

Julai 21, Yanga v Ndanda

Julai 5, Biashara United v Yanga

Julai 9, Kagera Sugar v Yanga

Julai 15, Yanga v Singida United

Julai 18, Yanga v Mwadui FC

Julai 22, Mtibwa Sugar v Yanga

Julai 26, Lipuli v Yanga

5 thoughts on “MECHI ZA YANGA ZINAZOFUATA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *