July 8, 2020
Breaking News

DAKTARI YANGA AZUNGUMZIA MAJERUHI YA TSHISHIMBI

Msomaji wa Yanganews Blog:Kiungo wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi alipata majeruhi katika mazoezi yanayoendelea Yanga, ikiwa ni maandalizi mchezo wa ligi kuu.

Akizungumza Daktari wa Yanga Dk Shecky Mngazija, amesema kiungo huyo bado yupo chini ya uangalizi wa daktari  hadi pale hali ya jareha lake litakapopona.

“Kwa sasa Tshishimbi yupo chini ya  uangalizi wa daktari kila siku anatakiwa kuhudhuria hospitalini kuangaliwa maendeleo yake,” alisema Mngazija

PATA HABARI KWA UHARAKA ZAIDI, DOWNLIAD APP YA YANGANEWS GB, FUTA APP YA YANGANEWS TOLEO JIPYA

FUTA APP YA YANGANEWS TOLEO JIPYA, DOWNLOAD APP YA YANGANEWS GB

Ikumbukwe habari zilizomo katika app ya Yanganews toleo jipya, habari hizo hizo utazikuta katika app ya Yanganews gb, tofauti yake app ya Yanganews gb imeboreshwa zaidi, imewekwa group la Yanga ndani ya app kama ilivyo group la Yanga whatsapp, hiyo ipo ndani ya app ya Yanganews gb, wanaYanga wataweza kujadiliana humo pia maoni yenu yatafanyiwa kazi haraka na viongozi wa Yanga waliopo humo.

App ya Yanganews inatambulika klabuni Yanga, inafanya kazi sambamba na app rasmi ya klabu.

bofya hiyo link, download app ya Yanganews gb____https://play.google.com/store/apps/detels?id=com.webline.yangaapphttps://play.google.com/storle/apps/details?id=com.webline.yangaapp

Bofya picha juu, download app ya Yanganews gb.

 

AU NENDA PLAYSTORE ANDIKA “YANGANEWS GB”, KISHA DOWNLOAD

29 thoughts on “DAKTARI YANGA AZUNGUMZIA MAJERUHI YA TSHISHIMBI

  1. kumkosa nahodha wetu kuna fanya kikosi chetu kikose balance na hivyo kuelemewa zaidi hasa eneo la kiungo mkabaji,tunakuombea upone haraka na urejee kwenye mapambano yako ya kila ckuuu!

  2. poleni na majukumu ya kilasiku za maisha naomba kuuliza huyu mwenye nembo anaye itumia mwanajangwani nishabiki wa yanga kweri au maanasimueli maneno yake hasa pale timu yetu inapo fanya vibaya nipeni jibu nifute nembo hiyo

  3. Awesome post. I am a normal visitor of your blog and appreciate you taking the time to maintain the nice site. I will be a regular visitor for a long time.

  4. I would like to thank you for the efforts you have put in writing this site. I’m hoping the same high-grade blog post from you in the upcoming also. In fact your creative writing skills has encouraged me to get my own web site now. Really the blogging is spreading its wings rapidly. Your write up is a good example of it.

  5. Edexcel English Language And Literature A Level Coursework Grade Boundaries Harry
    Potter Tattoo Death Eater

    my webpage: pdf

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *