July 8, 2020
Breaking News

WACHEZAJI YANGA WAENDELEZA TIZI LA NGUVU, TAYARI KWA MAPAMBANO

Msomaji wa Yanganews Blog:Wachezaji Yanga waendeleza tizi kama kawaida, hiyo ikiwa ni maandalizi mchezo wa ligi kuu dhidi Mwadui, june13.

TAZAMA VIPENGELE MKATABA YANGA NA LA LIGA ‘MABADILIKO YANGA’.

Msomaji wa Yanganews blog:Tazama vipengele mkataba Yanga na La liga, tazama katika app ya Yanganews gb.

Bofya picha juu, tazama vipengele mkataba Yanga na La liga kuelekea kwenye mabadiliko ya Yanga.

FUTA APP YA YANGANEWS TOLEO JIPYA, DOWNLOAD APP YA YANGANEWS GB

Ikumbukwe habari zilizomo katika app ya Yanganews toleo jipya, habari hizo hizo utazikuta katika app ya Yanganews gb, tofauti yake app ya Yanganews gb imeboreshwa zaidi, imewekwa group la Yanga ndani ya app kama ilivyo group la Yanga whatsapp, hiyo ipo ndani ya app ya Yanganews gb, wanaYanga wataweza kujadiliana humo pia maoni yenu yatafanyiwa kazi haraka na viongozi wa Yanga waliopo humo.

App ya Yanganews inatambulika klabuni Yanga, inafanya kazi sambamba na app rasmi ya klabu.

bofya hiyo link, download app ya Yanganews gb____https://play.google.com/store/apps/detels?id=com.webline.yangaapphttps://play.google.com/storle/apps/details?id=com.webline.yangaapp

Bofya picha juu, download app ya Yanganews gb.

 

AU NENDA PLAYSTORE ANDIKA “YANGANEWS GB”, KISHA DOWNLOAD

 

10 thoughts on “WACHEZAJI YANGA WAENDELEZA TIZI LA NGUVU, TAYARI KWA MAPAMBANO

  1. Mabadiliko ni lazima wadau wapenzi na mashabiki wote wa yanga tuungane na tuunge mkono mabadiliko na kuwaombea viongozi wanaosimamia ili wasikate tamaa.Yanahitaji ujasiri na moyo wa majitoleo.Hongereni sana

  2. naomba gsm kwamba mabadiliko yaendane na hualisia latika kikosi tunataka mabdiliko yacwachezaji 6 tu wenye quality kama ya morrisoni beki wa kushoto,kiungo mkabaji.center beki washambuliaji wa kuscore magoriii wawili pamoja nakiungo mmoja matata

  3. mabadiko yamechelewa Sana. inabidi twende kwa Kasi na kwa makini. Ninaimani kubwa na uongozi uliopo na pia wadhamini makini GSM. Daima mbele nyuma mwiko.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *